Zaburi 132:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee BWANA, uinuke, uende kwenye raha yako, Wewe na sanduku la nguvu zako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Inuka ee Mwenyezi-Mungu, nenda kwenye maskani yako; inuka pamoja na sanduku la agano la uwezo wako! Biblia Habari Njema - BHND Inuka ee Mwenyezi-Mungu, nenda kwenye maskani yako; inuka pamoja na sanduku la agano la uwezo wako! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Inuka ee Mwenyezi-Mungu, nenda kwenye maskani yako; inuka pamoja na sanduku la agano la uwezo wako! Neno: Bibilia Takatifu inuka, Ee Mwenyezi Mungu, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako. Neno: Maandiko Matakatifu inuka, Ee bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako. BIBLIA KISWAHILI Ee BWANA, uinuke, uende kwenye raha yako, Wewe na sanduku la nguvu zako. |