Na Mungu akamkumbuka Nuhu, na kila kilicho hai, na wanyama wote waliokuwamo pamoja naye katika safina; Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji yakapungua;
Zaburi 132:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC BWANA, umkumbukie Daudi Taabu zake zote alizotaabika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mwenyezi-Mungu, mkumbuke Daudi, kumbuka taabu zote alizopata. Biblia Habari Njema - BHND Ee Mwenyezi-Mungu, mkumbuke Daudi, kumbuka taabu zote alizopata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mwenyezi-Mungu, mkumbuke Daudi, kumbuka taabu zote alizopata. Neno: Bibilia Takatifu Ee Mwenyezi Mungu, mkumbuke Daudi na taabu zote alizozistahimili. Neno: Maandiko Matakatifu Ee bwana, mkumbuke Daudi na taabu zote alizozistahimili. BIBLIA KISWAHILI BWANA, umkumbukie Daudi Taabu zake zote alizotaabika. |
Na Mungu akamkumbuka Nuhu, na kila kilicho hai, na wanyama wote waliokuwamo pamoja naye katika safina; Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji yakapungua;
BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wanafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye anakesha bure.
BWANA, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala mambo yanayozidi nguvu zangu.
Mungu akasikia kuugua kwao, Mungu akakumbuka agano lake alilolifanya na Abrahamu na Isaka na Yakobo.