Zaburi 13:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee BWANA, utanisahau hadi lini, hata milele? Hadi lini utanificha uso wako? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mpaka lini ee Mwenyezi-Mungu, utanisahau? Je, utanisahau mpaka milele? Mpaka lini utanificha uso wako? Biblia Habari Njema - BHND Mpaka lini ee Mwenyezi-Mungu, utanisahau? Je, utanisahau mpaka milele? Mpaka lini utanificha uso wako? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mpaka lini ee Mwenyezi-Mungu, utanisahau? Je, utanisahau mpaka milele? Mpaka lini utanificha uso wako? Neno: Bibilia Takatifu Hadi lini, Ee Mwenyezi Mungu? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako hadi lini? Neno: Maandiko Matakatifu Mpaka lini, Ee bwana? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako mpaka lini? BIBLIA KISWAHILI Ee BWANA, utanisahau hadi lini, hata milele? Hadi lini utanificha uso wako? |
BWANA, utatazama hadi lini? Uiokoe nafsi yangu kutoka kwa maangamizi yao, Na maisha yangu kutoka kwa wanasimba.
Ee Mungu, mbona umetutupa milele? Kwa nini hasira yako inatoka moshi Juu ya kondoo wa malisho yako?
lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.
Ndipo hasira yangu itakapowaka juu yao siku hiyo, nami nitawaacha, nitawaficha uso wangu, nao wataliwa, tena watajiliwa na mambo maovu mengi na mashaka; hata waseme siku hiyo, Je! Kujiliwa kwetu na maovu haya si kwa sababu Mungu wetu hayumo kati yetu?