Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Zaburi 129:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ambayo mvunaji haujazi mkono wake, Wala mfunga miganda kifua chake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema hakuna anayejishughulisha kuzikusanya, wala kuzichukua kama matita. Biblia Habari Njema - BHND hakuna anayejishughulisha kuzikusanya, wala kuzichukua kama matita. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza hakuna anayejishughulisha kuzikusanya, wala kuzichukua kama matita. Neno: Bibilia Takatifu kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake. Neno: Maandiko Matakatifu kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake. BIBLIA KISWAHILI Ambayo mvunaji haujazi mkono wake, Wala mfunga miganda kifua chake. |
Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Kwa maana wao hupanda upepo, nao watavuna tufani; nafaka haina bua; machipuko yake hayatoi masuke; hata ikiwa yatoa, wageni watayameza.
Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.