Zaburi 129:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakulima wamelima mgongoni mwangu, Wamefanya mirefu mifuo yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walinijeruhi vibaya mgongoni mwangu, wakafanya kama mkulima anayelima shamba. Biblia Habari Njema - BHND Walinijeruhi vibaya mgongoni mwangu, wakafanya kama mkulima anayelima shamba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walinijeruhi vibaya mgongoni mwangu, wakafanya kama mkulima anayelima shamba. Neno: Bibilia Takatifu Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu. Neno: Maandiko Matakatifu Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu. BIBLIA KISWAHILI Wakulima wamelima mgongoni mwangu, Wamefanya mirefu mifuo yao. |
Kama kupasua kuni na kuzichanja juu ya nchi, Ndivyo ilivyo mifupa yetu mdomoni pa kuzimu.
Niliwatolea wapigao mgongo wangu, na wang'oao ndevu mashavu yangu; sikuficha uso wangu usipate fedheha na kutemewa mate.
nami nitalitia mikononi mwao wakutesao; waliokuambia nafsi yako, Inama, tupate kupita; nawe uliufanya mgongo wako kuwa kama nchi, na kama njia, kwa hao wapitao juu yake.