Zaburi 122:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa ajili ya jamaa na ndugu zangu, ee Yerusalemu, nakutakia amani! Biblia Habari Njema - BHND Kwa ajili ya jamaa na ndugu zangu, ee Yerusalemu, nakutakia amani! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa ajili ya jamaa na ndugu zangu, ee Yerusalemu, nakutakia amani! Neno: Bibilia Takatifu Kwa ajili ya ndugu na rafiki zangu, nitasema, “Amani iwe ndani yako.” Neno: Maandiko Matakatifu Kwa ajili ya ndugu zangu na marafiki, nitasema, “Amani iwe ndani yako.” BIBLIA KISWAHILI Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe. |
Nayakumbuka mambo haya kwa uchungu moyoni mwangu, Jinsi nilivyokuwa nikienda na mkutano, Na kuwaongoza hadi katika nyumba ya Mungu, Kwa sauti ya furaha na kusifu, mkutano wa sikukuu.
na hivi ndivyo mtakavyomwambia huyu aishiye salama, Amani na iwe kwako, na amani nyumbani mwako, na amani kwao wote ulio nao.