Ikawa, wakati wa adhuhuri, Eliya akawafanyia dhihaka, akasema, Mwiteni kwa sauti kuu; maana ni mungu huyo; labda anazungumza, au ana shughuli, au anasafiri, au labda amelala, sharti aamshwe.
Zaburi 121:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naam, hatasinzia wala hatalala, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kweli mlinzi wa Israeli hasinzii wala halali. Biblia Habari Njema - BHND Kweli mlinzi wa Israeli hasinzii wala halali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kweli mlinzi wa Israeli hasinzii wala halali. Neno: Bibilia Takatifu hakika, yeye alindaye Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi. Neno: Maandiko Matakatifu hakika, yeye alindaye Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi. BIBLIA KISWAHILI Naam, hatasinzia wala hatalala, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. |
Ikawa, wakati wa adhuhuri, Eliya akawafanyia dhihaka, akasema, Mwiteni kwa sauti kuu; maana ni mungu huyo; labda anazungumza, au ana shughuli, au anasafiri, au labda amelala, sharti aamshwe.
BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wanafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye anakesha bure.
BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?
Mimi nilipotia moyo wangu katika kuijua hekima, na kuuona utumishi uliofanyika juu ya nchi, (maana kuna asiyepata usingizi kwa macho yake mchana wala usiku);
Mimi, BWANA, nililinda, Nitalitia maji kila dakika, Asije mtu akaliharibu; Usiku na mchana nitalilinda.
Kwa hiyo wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu, nao wanamtumikia mchana na usiku katika hekalu lake, na yeye aketiye katika kiti cha enzi atatanda hema yake juu yao.