Zaburi 119:70 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mioyo yao imenenepa kama shahamu, Lakini mimi nimeifurahia sheria yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mioyo yao imejaa upumbavu, lakini mimi nafurahia sheria yako. Biblia Habari Njema - BHND Mioyo yao imejaa upumbavu, lakini mimi nafurahia sheria yako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mioyo yao imejaa upumbavu, lakini mimi nafurahia sheria yako. Neno: Bibilia Takatifu Mioyo yao ni katili na migumu, bali mimi napendezwa na sheria yako. Neno: Maandiko Matakatifu Mioyo yao ni katili na migumu, bali mimi napendezwa na sheria yako. BIBLIA KISWAHILI Mioyo yao imenenepa kama shahamu, Lakini mimi nimeifurahia sheria yako. |
Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
Zifanye akili za watu hawa zipumbae, na uyatie uzito masikio yao, na uyafumbe macho yao; wasije wakaona kwa macho yao, na kusikia kwa masikio yao, na kufahamu kwa mioyo yao, na kurejea na kuponywa.
Kwa maana mioyo ya watu hawa imepumbaa, Na masikio yao ni mazito ya kusikia, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Na kusikia kwa masikio yao, Na kufahamu kwa mioyo yao, Na kubadili nia zao, nikawaponya.