Zaburi 119:69 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wenye kiburi wamenizulia uongo, Lakini kwa moyo wangu wote nitayashika mausia yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wenye kiburi wanasema uongo juu yangu, lakini mimi nashika kanuni zako kwa moyo wote. Biblia Habari Njema - BHND Wenye kiburi wanasema uongo juu yangu, lakini mimi nashika kanuni zako kwa moyo wote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wenye kiburi wanasema uongo juu yangu, lakini mimi nashika kanuni zako kwa moyo wote. Neno: Bibilia Takatifu Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo, nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote. Neno: Maandiko Matakatifu Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo, nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote. BIBLIA KISWAHILI Wenye kiburi wamenizulia uongo, Lakini kwa moyo wangu wote nitayashika mausia yako. |
Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali.
Kwa maana tumemwona mtu huyu kuwa mkorofi, mwanzilishi wa fitina katika Wayahudi wote duniani, tena ni kichwa cha madhehebu ya Wanazareti.