Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, Hao wakae nami. Yeye aendaye katika njia kamilifu, Ndiye atakayenitumikia.
Zaburi 119:63 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mimi ni mwenzi wa watu wote wakuchao, Na wale wayatiio mausia yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi ni rafiki ya wote wakuchao, rafiki yao wanaozitii kanuni zako. Biblia Habari Njema - BHND Mimi ni rafiki ya wote wakuchao, rafiki yao wanaozitii kanuni zako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi ni rafiki ya wote wakuchao, rafiki yao wanaozitii kanuni zako. Neno: Bibilia Takatifu Mimi ni rafiki kwa wale wote wanaokucha, kwa wote wanaofuata mausia yako. Neno: Maandiko Matakatifu Mimi ni rafiki kwa wale wote wakuchao, kwa wote wanaofuata mausia yako. BIBLIA KISWAHILI Mimi ni mwenzi wa watu wote wakuchao, Na wale wayatiio mausia yako. |
Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, Hao wakae nami. Yeye aendaye katika njia kamilifu, Ndiye atakayenitumikia.
Uitoe nafsi yangu kifungoni. Nipate kulishukuru jina lako. Wenye haki watanizunguka, Kwa kuwa Wewe unanikirimu.
hilo tuliloliona na kulisikia, tunawahubiria na ninyi; ili nanyi pia mpate kushirikiana nasi: na ushirika wetu ni pamoja na Baba, na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo.
Sisi tunajua ya kuwa tumepita toka mautini kuingia uzimani, kwa maana tunawapenda ndugu. Yeye asiyependa, akaa katika mauti.