Zaburi 119:62 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usiku wa manane nitaamka nikushukuru, Kwa sababu ya hukumu zako za haki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiku wa manane naamka kukusifu, kwa sababu ya maagizo yako maadilifu. Biblia Habari Njema - BHND Usiku wa manane naamka kukusifu, kwa sababu ya maagizo yako maadilifu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiku wa manane naamka kukusifu, kwa sababu ya maagizo yako maadilifu. Neno: Bibilia Takatifu Usiku wa manane ninaamka kukushukuru kwa sababu ya sheria zako za haki. Neno: Maandiko Matakatifu Usiku wa manane ninaamka kukushukuru kwa sababu ya sheria zako za haki. BIBLIA KISWAHILI Usiku wa manane nitaamka nikushukuru, Kwa sababu ya hukumu zako za haki. |
Naamka kabla ya mapambazuko na kukuomba msaada, Naweka tumaini langu katika maneno yako.
Kicho cha BWANA ni kitakatifu, Kinadumu milele. Hukumu za BWANA ni kweli, Zina haki kabisa.
Mchana BWANA ataagiza fadhili zake, na usiku wimbo wake utakuwa nami, Naam, maombi kwa Mungu aliye uhai wangu.
Hata alfajiri na mapema sana akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipokuwa na watu, akaomba huko.
Lakini ilipokuwa karibu usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za kumsifu, na wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza.
Tena liko taifa gani kubwa, lililo na amri na hukumu zenye haki kama torati hii yote, ninayoiweka mbele yenu leo?