Ee BWANA, hakika mimi ni mtumishi wako, Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako, Umevifungua vifungo vyangu.
Zaburi 119:125 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mimi ni mtumishi wako, unifahamishe, Nipate kuzijua shuhuda zako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi ni mtumishi wako, unipe maarifa, nipate kujua maamuzi yako. Biblia Habari Njema - BHND Mimi ni mtumishi wako, unipe maarifa, nipate kujua maamuzi yako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi ni mtumishi wako, unipe maarifa, nipate kujua maamuzi yako. Neno: Bibilia Takatifu Mimi ni mtumishi wako; nipe busara ili niweze kuelewa sheria zako. Neno: Maandiko Matakatifu Mimi ni mtumishi wako; nipe ufahamu ili niweze kuelewa sheria zako. BIBLIA KISWAHILI Mimi ni mtumishi wako, unifahamishe, Nipate kuzijua shuhuda zako. |
Ee BWANA, hakika mimi ni mtumishi wako, Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako, Umevifungua vifungo vyangu.
Unielekee na kunifadhili mimi; Mpe mtumishi wako nguvu zako, Umwokoe mwana wa mjakazi wako.
Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele.
Lakini mmoja wenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.