Akamwuliza, Nikupe nini? Yakobo akasema, Usinipe kitu; ukinifanyia neno hili, nitalisha wanyama wako tena na kuwalinda.
Zaburi 118:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ni heri kumkimbilia BWANA Kuliko kuwatumainia wanadamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu. Biblia Habari Njema - BHND Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Afadhali kukimbilia usalama kwa Mwenyezi-Mungu, kuliko kumtumainia mwanadamu. Neno: Bibilia Takatifu Ni bora kumkimbilia Mwenyezi Mungu kuliko kumtumainia mwanadamu. Neno: Maandiko Matakatifu Ni bora kumkimbilia bwana kuliko kumtumainia mwanadamu. BIBLIA KISWAHILI Ni heri kumkimbilia BWANA Kuliko kuwatumainia wanadamu. |
Akamwuliza, Nikupe nini? Yakobo akasema, Usinipe kitu; ukinifanyia neno hili, nitalisha wanyama wako tena na kuwalinda.
Heri aliyemfanya BWANA kuwa tumaini lake, Wala hakuwaelekea wenye kiburi, Wala hao wanaogeukia uongo.