Ndipo Yakobo akaogopa sana, na kufadhaika sana, akawagawanya watu waliokuwa pamoja naye, na kondoo, na ng'ombe, na ngamia, wawe makundi mawili.
Zaburi 118:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Katika shida yangu nilimwita BWANA; BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru. Biblia Habari Njema - BHND Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru. Neno: Bibilia Takatifu Wakati wa maumivu yangu makuu, nilimlilia Mwenyezi Mungu, naye akanijibu kwa kuniweka huru. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia bwana, naye akanijibu kwa kuniweka huru. BIBLIA KISWAHILI Katika shida yangu nilimwita BWANA; BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi. |
Ndipo Yakobo akaogopa sana, na kufadhaika sana, akawagawanya watu waliokuwa pamoja naye, na kondoo, na ng'ombe, na ngamia, wawe makundi mawili.
Katika shida yangu nilimwita BWANA, Na kumlalamikia Mungu wangu. Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
Katika siku ya taabu yangu nilimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, bila kulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika.