Zaburi 118:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wamchao BWANA na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wote wamchao Mwenyezi-Mungu na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” Biblia Habari Njema - BHND Wote wamchao Mwenyezi-Mungu na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wote wamchao Mwenyezi-Mungu na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” Neno: Bibilia Takatifu Wote wanaomcha Mwenyezi Mungu na waseme sasa: “Fadhili zake zadumu milele.” Neno: Maandiko Matakatifu Wote wamchao bwana na waseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.” BIBLIA KISWAHILI Wamchao BWANA na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele. |
Ninyi mnaomcha BWANA, msifuni, Enyi nyote mlio wazawa wa Yakobo, mtukuzeni, Mcheni, enyi nyote mlio wazawa wa Israeli.
Sauti ikatoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Msifuni Mungu wetu, enyi watumwa wake wote, ninyi mnaomcha, wadogo kwa wakubwa.