Zaburi 118:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru, Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wewe ni Mungu wangu, nami ninakushukuru; ninakutukuza, ee Mungu wangu. Biblia Habari Njema - BHND Wewe ni Mungu wangu, nami ninakushukuru; ninakutukuza, ee Mungu wangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wewe ni Mungu wangu, nami ninakushukuru; ninakutukuza, ee Mungu wangu. Neno: Bibilia Takatifu Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza. Neno: Maandiko Matakatifu Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza. BIBLIA KISWAHILI Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru, Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza. |
Unifundishe kuyatenda mapenzi yako, Kwa maana ndiwe Mungu wangu; Roho yako mwema aniongoze katika njia iliyo sawa,
BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza.
Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.
Ee BWANA, wewe u Mungu wangu; Nitakutukuza na kulihimidi jina lako; Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu, Mashauri ya kale, kwa uaminifu na kweli.
Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye BWANA tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.