Zaburi 118:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu. Biblia Habari Njema - BHND Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu. Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu. Neno: Maandiko Matakatifu bwana ametenda hili, nalo ni la kushangaza machoni petu. BIBLIA KISWAHILI Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu. |
Hayo nayo yatoka kwa BWANA wa majeshi, mwenye shauri la ajabu, apitaye wote kwa hekima yake.
Tazameni, enyi mnaodharau, kastaajabuni, mkatoweke; kwa kuwa natenda kazi mimi siku zenu, kazi ambayo msingeisadiki kabisa, ijapo mtu akiwasimulia sana.
Basi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana, na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na elimu, wasio na maarifa, wakastaajabu, wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu.