Zaburi 118:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nakushukuru, ee Mungu kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu. Biblia Habari Njema - BHND Nakushukuru, ee Mungu kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nakushukuru, ee Mungu kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu. Neno: Bibilia Takatifu Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu. Neno: Maandiko Matakatifu Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu. BIBLIA KISWAHILI Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu. |
BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza.
Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.
BWANA asema hivi, Wakati uliokubalika nimekujibu, na siku ya wokovu nimekusaidia; nami nitakuhifadhi, nitakutoa uwe agano la watu hawa, ili kuiinua nchi hii, na kuwarithisha urithi uliokuwa ukiwa;