Israeli na aseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Watu wa Israeli na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.”
Israeli na aseme sasa: “Fadhili zake zadumu milele.”
Israeli na aseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.”
Ee BWANA, kazi zako zote zitakushukuru, Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Na wote watakaoenenda kwa kanuni hiyo, amani na iwe kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.
Basi, kwa njia yake yeye, na tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamalo jina lake.