Ingieni malangoni mwake kwa shukrani; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;
Zaburi 118:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nifungulieni malango ya haki, Nitaingia na kumshukuru BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu! Biblia Habari Njema - BHND Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu! Neno: Bibilia Takatifu Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru bwana. BIBLIA KISWAHILI Nifungulieni malango ya haki, Nitaingia na kumshukuru BWANA. |
Ingieni malangoni mwake kwa shukrani; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;
BWANA yu tayari kunipa wokovu. Basi, kwa vinubi tutaziimba nyimbo zangu, Siku zote za maisha yetu nyumbani mwa BWANA.
Tena Hezekia alikuwa amesema, Iko ishara gani ya kunionesha ya kuwa nitapanda niingie nyumbani mwa BWANA?
Heri wazifuao nguo zao, ili wawe na haki ya kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake.