BWANA, mkono wako wa kulia umepata fahari ya uwezo, BWANA, mkono wako wa kulia wawasetaseta adui.
Zaburi 118:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mkono wa kulia wa BWANA umetukuzwa; Mkono wa kulia wa BWANA hutenda makuu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!” Biblia Habari Njema - BHND Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!” Neno: Bibilia Takatifu Mkono wa kuume wa Mwenyezi Mungu umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa Mwenyezi Mungu umetenda mambo makuu!” Neno: Maandiko Matakatifu Mkono wa kuume wa bwana umeinuliwa juu, mkono wa kuume wa bwana umetenda mambo makuu!” BIBLIA KISWAHILI Mkono wa kuume wa BWANA umetukuzwa; Mkono wa kuume wa BWANA hutenda makuu. |
BWANA, mkono wako wa kulia umepata fahari ya uwezo, BWANA, mkono wako wa kulia wawasetaseta adui.