Basi Yoabu alipoona ya kwamba wamejipanga kwa vita juu yake mbele na nyuma, akachagua baadhi ya wateule wote wa Israeli, akawapanga juu ya Washami.
Zaburi 118:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Walinizunguka, naam, walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu, nikayaangamiza! Biblia Habari Njema - BHND Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu, nikayaangamiza! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yalinizunguka kila upande, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu, nikayaangamiza! Neno: Bibilia Takatifu Walinizunguka pande zote, lakini kwa jina la Mwenyezi Mungu naliwakatilia mbali. Neno: Maandiko Matakatifu Walinizunguka pande zote, lakini kwa jina la bwana naliwakatilia mbali. BIBLIA KISWAHILI Walinizunguka, naam, walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali. |
Basi Yoabu alipoona ya kwamba wamejipanga kwa vita juu yake mbele na nyuma, akachagua baadhi ya wateule wote wa Israeli, akawapanga juu ya Washami.
Sauli akaenda upande huu wa mlima, na Daudi na watu wake wakaenda upande huu wa mlima; naye Daudi akafanya haraka sana ili amtoroke Sauli; kwa sababu Sauli na watu wake walikuwa wakiwazingira Daudi na watu wake ili kuwakamata.