Zaburi 118:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mataifa yote walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mataifa yote yalinizingira, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikayaangamiza! Biblia Habari Njema - BHND Mataifa yote yalinizingira, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikayaangamiza! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mataifa yote yalinizingira, lakini kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikayaangamiza! Neno: Bibilia Takatifu Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la Mwenyezi Mungu naliwakatilia mbali. Neno: Maandiko Matakatifu Mataifa yote yalinizunguka, lakini kwa jina la bwana naliwakatilia mbali. BIBLIA KISWAHILI Mataifa yote walinizunguka; Kwa jina la BWANA niliwakatilia mbali. |
Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata majeraha mengi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.
Wafalme hao wote wakakutana pamoja; wakaenda na kupanga mahema yao pamoja hapo penye maji ya Meromu, ili kupigana na Israeli.