Zaburi 118:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema - BHND Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele. Neno: Bibilia Takatifu Mshukuruni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa ni mwema; fadhili zake zadumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Mshukuruni bwana, kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele. BIBLIA KISWAHILI Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele. |
Bali fadhili za BWANA ni kwa wamchao Tangu milele hata milele, Na haki yake ni kwa vizazi vyote;
itasikika tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.