Zaburi 117:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini! Biblia Habari Njema - BHND Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini! Neno: Bibilia Takatifu Msifuni Mwenyezi Mungu, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote. Neno: Maandiko Matakatifu Msifuni bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote. BIBLIA KISWAHILI Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini. |
Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.
Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuifungua mihuri yake; kwa kuwa ulichinjwa, ukawa fidia kwa Mungu na kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,