Na huko mtatumikia miungu, waliotengenezwa kwa mikono ya watu, miti na mawe, miungu ambao hawaoni, hawasikii, hawali, wala hawanusi.
Zaburi 115:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Zina masikio lakini hazisikii, Zina pua lakini hazinusi harufu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ina masikio, lakini haisikii. Ina pua, lakini hainusi. Biblia Habari Njema - BHND Ina masikio, lakini haisikii. Ina pua, lakini hainusi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ina masikio, lakini haisikii. Ina pua, lakini hainusi. Neno: Bibilia Takatifu zina masikio, lakini haziwezi kusikia, zina pua, lakini haziwezi kunusa; Neno: Maandiko Matakatifu zina masikio, lakini haziwezi kusikia, zina pua, lakini haziwezi kunusa; BIBLIA KISWAHILI Zina masikio lakini hazisikii, Zina pua lakini hazinusi harufu, |
Na huko mtatumikia miungu, waliotengenezwa kwa mikono ya watu, miti na mawe, miungu ambao hawaoni, hawasikii, hawali, wala hawanusi.