Mfano wao ni mfano wa mtende, kazi ya cherehani, hawasemi; hawana budi kuchukuliwa, kwa sababu hawawezi kwenda. Usiwaogope; kwa maana hawawezi kutenda uovu, wala hawana uwezo wa kutenda mema.
Zaburi 115:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Zina vinywa lakini hazisemi, Zina macho lakini hazioni, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ina vinywa, lakini haisemi. Ina macho, lakini haioni. Biblia Habari Njema - BHND Ina vinywa, lakini haisemi. Ina macho, lakini haioni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ina vinywa, lakini haisemi. Ina macho, lakini haioni. Neno: Bibilia Takatifu Zina vinywa, lakini haziwezi kusema, zina macho, lakini haziwezi kuona; Neno: Maandiko Matakatifu Zina vinywa, lakini haziwezi kusema, zina macho, lakini haziwezi kuona; BIBLIA KISWAHILI Zina vinywa lakini hazisemi, Zina macho lakini hazioni, |
Mfano wao ni mfano wa mtende, kazi ya cherehani, hawasemi; hawana budi kuchukuliwa, kwa sababu hawawezi kwenda. Usiwaogope; kwa maana hawawezi kutenda uovu, wala hawana uwezo wa kutenda mema.
Kila mtu amekuwa kama mnyama, hana maarifa; Kila mfua dhahabu amefedheheshwa na sanamu yake ya kuchonga; Maana sanamu yake ya kuyeyuka ni uongo, Wala hamna pumzi ndani yake.