Mna faida gani katika damu yangu Nishukapo Shimoni? Mavumbi yatakusifu? Yatautangaza uaminifu wako?
Zaburi 115:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wafu hawamsifu Mungu BWANA, Wala yeyote ashukaye kwenye kimya; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wafu hawamsifu Mwenyezi-Mungu, wala wale wanaoshuka katika nchi ya kimya. Biblia Habari Njema - BHND Wafu hawamsifu Mwenyezi-Mungu, wala wale wanaoshuka katika nchi ya kimya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wafu hawamsifu Mwenyezi-Mungu, wala wale wanaoshuka katika nchi ya kimya. Neno: Bibilia Takatifu Sio wafu wanaomsifu Mwenyezi Mungu, wale wanaoshuka mahali pa kimya, Neno: Maandiko Matakatifu Sio wafu wanaomsifu bwana, wale washukao mahali pa kimya, BIBLIA KISWAHILI Wafu hawamsifu BWANA, Wala yeyote ashukaye kwenye kimya; |
Mna faida gani katika damu yangu Nishukapo Shimoni? Mavumbi yatakusifu? Yatautangaza uaminifu wako?
Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakibubujikia kitanda changu; Nililowesha godoro langu kwa machozi yangu.
Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake; Bali waovu watanyamazishwa gizani, Maana kwa nguvu hakuna atakayeshinda;