Je! BWANA aliikasirikia mito? Je! Hasira yako ilikuwa juu ya mito, Au ghadhabu yako juu ya bahari, Hata ukapanda farasi wako, Katika magari yako ya wokovu?
Zaburi 114:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee bahari, una nini, ndio ukimbie? Yordani, ndio urudi nyuma? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee bahari, imekuwaje hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini ukaacha kutiririka? Biblia Habari Njema - BHND Ee bahari, imekuwaje hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini ukaacha kutiririka? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee bahari, imekuwaje hata ukakimbia? Nawe Yordani, kwa nini ukaacha kutiririka? Neno: Bibilia Takatifu Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma, Neno: Maandiko Matakatifu Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma, BIBLIA KISWAHILI Ee bahari, una nini, hata ukimbie? Yordani, ndio urudi nyuma? |
Je! BWANA aliikasirikia mito? Je! Hasira yako ilikuwa juu ya mito, Au ghadhabu yako juu ya bahari, Hata ukapanda farasi wako, Katika magari yako ya wokovu?