Zaburi 112:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nyumbani mwake mna utajiri na mali, Na haki yake yadumu milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyumbani kwake kutakuwa na mali nyingi; uadilifu wake wadumu milele. Biblia Habari Njema - BHND Nyumbani kwake kutakuwa na mali nyingi; uadilifu wake wadumu milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyumbani kwake kutakuwa na mali nyingi; uadilifu wake wadumu milele. Neno: Bibilia Takatifu Nyumbani mwake kuna mali na utajiri, haki yake hudumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Nyumbani mwake kuna mali na utajiri, haki yake hudumu milele. BIBLIA KISWAHILI Nyumbani mwake mna utajiri na mali, Na haki yake yadumu milele. |
Kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana ufahamu mzuri, Sifa zake zadumu milele.
Ametoa kwa ukarimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Wanasimba hutindikiwa, na kuona njaa; Bali wamtafutao BWANA hawapungukiwi kitu chochote kilicho chema.
Kuna hazina ya thamani na mafuta katika maskani ya mwenye hekima; Bali mwanadamu aliye mpumbavu huyameza.
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.
Maana nondo atawala kama vazi, na funza atawala kama sufu; bali haki yangu itakuwa ya milele, na wokovu wangu hata vizazi vyote.
kama wenye huzuni, bali siku zote tu wenye furaha; kama maskini, bali tukitajirisha wengi; kama wasio na kitu, bali tu wenye vitu vyote.