Kisha akanionesha Yoshua, kuhani mkuu, amesimama mbele ya malaika wa BWANA, na Shetani amesimama mkono wake wa kulia ili kushindana naye.
Zaburi 109:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Umweke mtu mkorofi juu yake, Mshitaki na asimame kulia kwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu; na mshtaki wake ampeleke mahakamani. Biblia Habari Njema - BHND Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu; na mshtaki wake ampeleke mahakamani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu; na mshtaki wake ampeleke mahakamani. Neno: Bibilia Takatifu Agiza mtu mwovu ampinge, mshtaki asimame mkono wake wa kuume. Neno: Maandiko Matakatifu Agiza mtu mwovu ampinge, mshtaki asimame mkono wake wa kuume. BIBLIA KISWAHILI Umweke mtu mkorofi juu yake, Mshitaki na asimame kulia kwake. |
Kisha akanionesha Yoshua, kuhani mkuu, amesimama mbele ya malaika wa BWANA, na Shetani amesimama mkono wake wa kulia ili kushindana naye.
Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa hakimu, na hakimu akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.
Hata wakati wa chakula cha jioni; naye Ibilisi amekwisha kumtia Yuda, mwana wa Simoni Iskarioti, moyo wa kumsaliti;
Na baada ya hilo tonge Shetani alimwingia. Basi Yesu akamwambia, Uyatendayo yatende upesi.