Mfupa wangu unagandamana na ngozi yangu na nyama yangu, Nami nimeokoka na ngozi ya meno yangu tu.
Zaburi 109:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Magoti yangu yamedhoofu kwa kufunga, Na mwili wangu umekonda kwa kukosa mafuta. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Magoti yangu yamenyongonyea kwa mfungo; nimebaki mifupa na ngozi. Biblia Habari Njema - BHND Magoti yangu yamenyongonyea kwa mfungo; nimebaki mifupa na ngozi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Magoti yangu yamenyong'onyea kwa mfungo; nimebaki mifupa na ngozi. Neno: Bibilia Takatifu Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda. Neno: Maandiko Matakatifu Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, mwili wangu umedhoofika na kukonda. BIBLIA KISWAHILI Magoti yangu yamedhoofu kwa kufunga, Na mwili wangu umekonda kwa kukosa mafuta. |
Mfupa wangu unagandamana na ngozi yangu na nyama yangu, Nami nimeokoka na ngozi ya meno yangu tu.
Nimemwagika kama maji, Mifupa yangu yote imeteguka, Moyo wangu umekuwa kama nta, Na kuyeyuka ndani ya moyo wangu.
katika taabu na masumbufu; katika kukesha mara nyingi; katika njaa na kiu; katika kufunga mara nyingi; katika baridi na kuwa uchi.