Alijivika laana kana kwamba ni vazi lake. Ikamwingilia moyoni kama maji, Na kama mafuta mifupani mwake.
Zaburi 109:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na iwe kwake kama vazi ajivikalo, Na kama mshipi ajifungao daima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Laana zimfunike kama nguo, zimzunguke daima kama ukanda. Biblia Habari Njema - BHND Laana zimfunike kama nguo, zimzunguke daima kama ukanda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Laana zimfunike kama nguo, zimzunguke daima kama ukanda. Neno: Bibilia Takatifu Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima. Neno: Maandiko Matakatifu Na iwe kama joho alilozungushiwa, kama mshipi aliofungiwa daima. BIBLIA KISWAHILI Na iwe kwake kama vazi ajivikalo, Na kama mshipi ajifungao daima. |
Alijivika laana kana kwamba ni vazi lake. Ikamwingilia moyoni kama maji, Na kama mafuta mifupani mwake.
Waaibishwe, wafedheheshwe pamoja, Wanaoifurahia hali yangu mbaya. Wavikwe aibu na fedheha, Wanaojikuza juu yangu.