Zaburi 108:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana fadhili zako ni kubwa kuliko mbingu, Na uaminifu wako unafika hata mawinguni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Fadhili zako ni kubwa kuliko mbingu; uaminifu wako waenea hata mawinguni. Biblia Habari Njema - BHND Fadhili zako ni kubwa kuliko mbingu; uaminifu wako waenea hata mawinguni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Fadhili zako ni kubwa kuliko mbingu; uaminifu wako waenea hata mawinguni. Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu; uaminifu wako unazifikia anga. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu; uaminifu wako unazifikia anga. BIBLIA KISWAHILI Maana fadhili zako ni kubwa kuliko mbingu, Na uaminifu wako unafika hata mawinguni. |
Maana, kama mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Ndivyo fadhili zake zilivyo kuu kwa wamchao.
Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, ndivyo njia zangu zilivyo juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.