Katika shida yangu nilimwita BWANA, Naam, nikamlalamikia Mungu wangu; Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
Zaburi 107:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Biblia Habari Njema - BHND Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo walipomlilia Mwenyezi Mungu katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo walipomlilia bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. BIBLIA KISWAHILI Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao. |
Katika shida yangu nilimwita BWANA, Naam, nikamlalamikia Mungu wangu; Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
Nitakwenda zangu niparudie mahali pangu, hata watakapoungama makosa yao na kunitafuta uso wangu; katika taabu yao watanitafuta kwa bidii.
na upendo, na subira; tena na adha zangu na mateso, mambo yaliyonipata katika Antiokia, katika Ikonio, na katika Listra, kila namna ya adha niliyoistahimili, naye Bwana aliniokoa katika hayo yote.