Amegeuza jangwa ikawa ziwa la maji, Na nchi kavu ikawa chemchemi za maji.
Aligeuza majangwa kuwa mabwawa ya maji, na nchi kame kuwa chemchemi za maji.
Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zinazotiririka;
Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo;
Amegeuza jangwa likawa ziwa la maji, Na nchi kavu ikawa chemchemi za maji.
Kuishibisha nchi iliyo kame na ukiwa, Na kuyameza majani yaliyo mororo?
Augeuzaye mwamba kuwa ziwa la maji, Jiwe gumu kuwa chemchemi.
Akafanya vijito vitokeze katika mwamba, Na kufanya maji yatiririke kama mito.