Walakini Hezekia hakuwa na shukrani kadiri alivyofadhiliwa; kwa kuwa moyo wake ulijawa na kiburi; kwa hiyo ikawako hasira juu yake, na juu ya Yuda na Yerusalemu.
Zaburi 107:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Biblia Habari Njema - BHND Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Neno: Bibilia Takatifu Basi na wamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. Neno: Maandiko Matakatifu Basi na wamshukuru bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. BIBLIA KISWAHILI Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu. |
Walakini Hezekia hakuwa na shukrani kadiri alivyofadhiliwa; kwa kuwa moyo wake ulijawa na kiburi; kwa hiyo ikawako hasira juu yake, na juu ya Yuda na Yerusalemu.