Zaburi 107:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa neno lake aliwaponya, akawaokoa wasiangamie. Biblia Habari Njema - BHND Kwa neno lake aliwaponya, akawaokoa wasiangamie. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa neno lake aliwaponya, akawaokoa wasiangamie. Neno: Bibilia Takatifu Akalituma neno lake na kuwaponya, akawaokoa kutoka maangamizi yao. Neno: Maandiko Matakatifu Akalituma neno lake na kuwaponya, akawaokoa kutoka maangamizo yao. BIBLIA KISWAHILI Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao. |
Mwimbieni BWANA zaburi, Enyi watauwa wake. Na kutoa shukrani. Kwa kukumbuka utakatifu wake.
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili niende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai.
Yule afisa akamjibu, akasema, Bwana, mimi sistahili wewe uingie chini ya dari yangu; lakini sema neno tu, na mtumishi wangu atapona.