Zaburi 106:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na kuwatawanya wazao wao kati ya mataifa, Na kuwatapanya katika nchi mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema atawatawanya wazawa wao kati ya watu, na kuwasambaza duniani kote. Biblia Habari Njema - BHND atawatawanya wazawa wao kati ya watu, na kuwasambaza duniani kote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza atawatawanya wazawa wao kati ya watu, na kuwasambaza duniani kote. Neno: Bibilia Takatifu kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa, na kuwatawanya katika nchi zote. Neno: Maandiko Matakatifu kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa, na kuwatawanya katika nchi zote. BIBLIA KISWAHILI Na kuwatawanya wazao wao kati ya mataifa, Na kuwatapanya katika nchi za mbali. |
Hasira ya BWANA imewatenga, Yeye hatawaangalia tena; Hawakujali nafsi za wale makuhani, Hawakuwaheshimu wazee wao.
Tena niliwainulia mkono wangu jangwani, kwamba nitawatawanya kati ya mataifa, na kuwatapanya katika nchi mbalimbali;
Nanyi nitawatapanyatapanya katika mataifa, nami nitaufuta upanga nyuma yenu; na nchi yenu itakuwa ni ukiwa, na miji yenu maganjo.
Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza BWANA.