Zaburi 106:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakaubadili utukufu wao Kuwa mfano wa ng'ombe mla majani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema waliubadilisha utukufu wa Mungu, kwa sanamu ya mnyama ambaye hula nyasi. Biblia Habari Njema - BHND waliubadilisha utukufu wa Mungu, kwa sanamu ya mnyama ambaye hula nyasi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza waliubadilisha utukufu wa Mungu, kwa sanamu ya mnyama ambaye hula nyasi. Neno: Bibilia Takatifu Waliubadilisha Utukufu wao kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani. Neno: Maandiko Matakatifu Waliubadilisha Utukufu wao kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani. BIBLIA KISWAHILI Wakaubadili utukufu wao Kuwa mfano wa ng'ombe mla majani. |
Akaipokea mikononi mwao akaitengeneza kwa patasi, akaifanya iwe sanamu ya ndama kwa kuiyeyusha; nao wakasema, Hiyo ndiyo miungu yako, Ee Israeli, iliyokutoa katika nchi ya Misri.
Je! Taifa wamebadili miungu yao, ingawa siyo miungu? Lakini watu wangu wameubadili utukufu wao kwa ajili ya kitu kisichofaidia.