nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza pamoja na Kora, mkutano huo ulipokufa; wakati moto ulipowateketeza watu mia mbili na hamsini, nao wakawa ishara.
Zaburi 106:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nchi ikapasuka ikammeza Dathani, Ikaufunika mkutano wa Abiramu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndipo ardhi ikafunguka ikammeza Dathani, na kumzika Abiramu na kundi lake lote; Biblia Habari Njema - BHND Ndipo ardhi ikafunguka ikammeza Dathani, na kumzika Abiramu na kundi lake lote; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndipo ardhi ikafunguka ikammeza Dathani, na kumzika Abiramu na kundi lake lote; Neno: Bibilia Takatifu Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani, ikawazika Abiramu na kundi lake. Neno: Maandiko Matakatifu Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani, ikawazika Abiramu na kundi lake. BIBLIA KISWAHILI Nchi ikapasuka ikammeza Dathani, Ikaufunika mkutano wa Abiramu. |
nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza pamoja na Kora, mkutano huo ulipokufa; wakati moto ulipowateketeza watu mia mbili na hamsini, nao wakawa ishara.
na alivyowafanya Dathani, na Abiramu, wana wa Eliabu mwana wa Reubeni; nchi ilivyofunua kinywa chake, ikawameza, na walio nyumbani mwao, na mahema yao, na kila kitu kilichokuwa hai kikiwafuata, katikati ya Israeli yote;