Ukawapa na roho yako mwema ili kuwaelimisha, wala hukuwanyima mana vinywani mwao, tena ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.
Zaburi 105:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Walimwomba naye akaleta kware, Na kuwashibisha chakula cha mbinguni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waliomba naye akawaletea kware, akawapa mkate kutoka mbinguni kwa wingi. Biblia Habari Njema - BHND Waliomba naye akawaletea kware, akawapa mkate kutoka mbinguni kwa wingi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waliomba naye akawaletea kware, akawapa mkate kutoka mbinguni kwa wingi. Neno: Bibilia Takatifu Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni. Neno: Maandiko Matakatifu Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni. BIBLIA KISWAHILI Walimwomba naye akaleta kware, Na kuwashibisha chakula cha mbinguni. |
Ukawapa na roho yako mwema ili kuwaelimisha, wala hukuwanyima mana vinywani mwao, tena ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.
Akakunyenyekeza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha BWANA.
Ndipo ile mana ikakoma siku ya pili yake, baada ya wao kuyala hayo mazao ya nchi; na hao wana wa Israeli hawakuwa na mana tena; lakini wakala mazao ya nchi ya Kanaani mwaka huo.