Sasa, Ee BWANA, Mungu, uondoke, uende kwenye raha yako, wewe na sanduku la nguvu zako; makuhani wako, Ee BWANA, Mungu, wavikwe wokovu, watakatifu wako na washangilie mema.
Zaburi 105:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mtafuteni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tafuteni msaada kwa Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima. Biblia Habari Njema - BHND Tafuteni msaada kwa Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tafuteni msaada kwa Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima. Neno: Bibilia Takatifu Mtafuteni Mwenyezi Mungu na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote. Neno: Maandiko Matakatifu Mtafuteni bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote. BIBLIA KISWAHILI Mtafuteni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake siku zote. |
Sasa, Ee BWANA, Mungu, uondoke, uende kwenye raha yako, wewe na sanduku la nguvu zako; makuhani wako, Ee BWANA, Mungu, wavikwe wokovu, watakatifu wako na washangilie mema.