Zaburi 105:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Alisema, kukaja nzige, Na tunutu wasiohesabika; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mungu akanena, kukazuka nzige, na panzi maelfu yasiyohesabika; Biblia Habari Njema - BHND Mungu akanena, kukazuka nzige, na panzi maelfu yasiyohesabika; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mungu akanena, kukazuka nzige, na panzi maelfu yasiyohesabika; Neno: Bibilia Takatifu Alisema, nzige wakaja, tunutu wasio na idadi, Neno: Maandiko Matakatifu Alisema, nzige wakaja, tunutu wasio na idadi, BIBLIA KISWAHILI Alisema, kukaja nzige, Na tunutu wasiohesabika; |
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.