Zaburi 105:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Israeli naye akaingia Misri, Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndipo Israeli akaingia nchini Misri; Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu. Biblia Habari Njema - BHND Ndipo Israeli akaingia nchini Misri; Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndipo Israeli akaingia nchini Misri; Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu. Neno: Bibilia Takatifu Kisha Israeli akaingia Misri, Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Israeli akaingia Misri, Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu. BIBLIA KISWAHILI Israeli naye akaingia Misri, Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu. |
Yakobo akaishi katika nchi ya Misri miaka kumi na saba, basi umri wake Yakobo ulikuwa miaka mia moja na arubaini na saba.
Mungu wa watu hawa Israeli aliwachagua baba zetu, akawatukuza watu hao, walipokuwa wakikaa kama wageni katika nchi ya Misri, na kwa mkono ulioinuliwa akawatoa, akawaongoza.
Kisha nikampa huyo Isaka, Yakobo na Esau; nami nikampa Esau mlima Seiri aumiliki; Yakobo na watoto wake wakashuka Misri.