Zaburi 105:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Awaongoze maofisa wake kama apendavyo, Na kuwafundisha wazee wake hekima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema awaongoze maofisa wake apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima. Biblia Habari Njema - BHND awaongoze maofisa wake apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza awaongoze maofisa wake apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima. Neno: Bibilia Takatifu kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima. Neno: Maandiko Matakatifu kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo na kuwafundisha wazee wake hekima. BIBLIA KISWAHILI Awaongoze maofisa wake kama apendavyo, Na kuwafundisha wazee wake hekima. |
Farao akawaambia watumishi wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye Roho ya Mungu ndani yake?
Farao akamwambia Yusufu, Mimi ni Farao, na bila amri yako, mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri.
Wakuu wa Soani wamekuwa wapumbavu kabisa; washauri wenye hekima wa Farao, ushauri wao umepumbazika; mwawezaje kumwambia Farao, Mimi ni mwana wa wenye hekima, ni mwana wa wafalme wa zamani?