Na nchi yote ya Misri ilipoona njaa, watu walimlilia Farao awape chakula. Farao akawaambia Wamisri wote, Nendeni kwa Yusufu; atakavyowaambia, fanyeni.
Zaburi 105:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akamweka kuwa mkuu wa nyumba yake, Na mwenye mamlaka juu ya mali yake yote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alimweka kuwa mkurugenzi wa serikali yake, na mkuu wa mali yake yote; Biblia Habari Njema - BHND Alimweka kuwa mkurugenzi wa serikali yake, na mkuu wa mali yake yote; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alimweka kuwa mkurugenzi wa serikali yake, na mkuu wa mali yake yote; Neno: Bibilia Takatifu Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala wa vyote alivyokuwa navyo, Neno: Maandiko Matakatifu Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo, BIBLIA KISWAHILI Akamweka kuwa mkuu wa nyumba yake, Na mwenye mamlaka juu ya mali yake yote. |
Na nchi yote ya Misri ilipoona njaa, watu walimlilia Farao awape chakula. Farao akawaambia Wamisri wote, Nendeni kwa Yusufu; atakavyowaambia, fanyeni.
Wakampasha habari, wakisema, Yusufu angali hai; naye ndiye mtawala katika nchi yote ya Misri. Moyo wake ukazimia, kwa sababu hakuwasadiki.
Basi si ninyi mlionileta huku, ila Mungu; naye ameniweka kama baba kwa Farao, na bwana katika nyumba yake yote, na mtawala katika nchi yote ya Misri.