Zaburi 105:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi, Yasimulieni maajabu yake yote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu! Biblia Habari Njema - BHND Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu! Neno: Bibilia Takatifu Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu. Neno: Maandiko Matakatifu Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu. BIBLIA KISWAHILI Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi, Yasimulieni maajabu yake yote. |
Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu. Mkono wa kulia, Na mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
Kisha itakuwa hapo mwanao atakapokuuliza kesho, akisema, Ni nini hivi? Utamwambia, BWANA alimtoa Misri, kutoka ile nyumba ya utumwa, kwa uwezo wa mkono wake;
mkisemezana kwa zaburi na tenzi na nyimbo za rohoni, huku mkiimba na kumshangilia Bwana mioyoni mwenu;
Sikieni, enyi wafalme; tegeni masikio, enyi wakuu; Mimi, naam mimi, nitamwimbia BWANA; Nitamhimidi BWANA, Mungu wa Israeli.