Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali wafungwa wa mfalme walimokuwa wamefungiwa, naye akawa humo gerezani.
Zaburi 105:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Walimwumiza miguu yake kwa pingu, Akatiwa katika minyororo ya chuma. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walimfunga miguu kwa minyororo, na shingoni kwa nira ya chuma, Biblia Habari Njema - BHND Walimfunga miguu kwa minyororo, na shingoni kwa nira ya chuma, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walimfunga miguu kwa minyororo, na shingoni kwa nira ya chuma, Neno: Bibilia Takatifu Walichubua miguu yake kwa minyororo, shingo yake ilifungwa kwa chuma, Neno: Maandiko Matakatifu Walichubua miguu yake kwa minyororo, shingo yake ilifungwa kwa chuma, BIBLIA KISWAHILI Walimwumiza miguu yake kwa pingu, Akatiwa katika minyororo ya chuma. |
Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali wafungwa wa mfalme walimokuwa wamefungiwa, naye akawa humo gerezani.
Kwa sababu hakika niliibwa kutoka nchi ya Waebrania, wala hapa sikutenda jambo lolote hata wanitie gerezani.
Naye akiisha kupata amri hii akawatupa katika chumba cha ndani, akawafunga miguu kwa mkatale.