Nao Wamidiani wakamuuza huko Misri, kwa Potifa, mmoja wa maofisa wa Farao, mkuu wa askari walinzi.
Zaburi 105:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Alimpeleka mtu mbele yao, Yusufu aliuzwa utumwani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini aliwatangulizia mtu mmoja, Yosefu aliyekuwa ameuzwa utumwani. Biblia Habari Njema - BHND Lakini aliwatangulizia mtu mmoja, Yosefu aliyekuwa ameuzwa utumwani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini aliwatangulizia mtu mmoja, Yosefu aliyekuwa ameuzwa utumwani. Neno: Bibilia Takatifu naye akatuma mtu mbele yao, Yusufu, aliyeuzwa kama mtumwa. Neno: Maandiko Matakatifu naye akatuma mtu mbele yao, Yusufu, aliyeuzwa kama mtumwa. BIBLIA KISWAHILI Alimpeleka mtu mbele yao, Yusufu aliuzwa utumwani. |
Nao Wamidiani wakamuuza huko Misri, kwa Potifa, mmoja wa maofisa wa Farao, mkuu wa askari walinzi.
Basi Yusufu akaletwa mpaka Misri, naye Potifa, ofisa wa Farao, mkuu wa askari walinzi, mtu wa Misri, akamnunua mkononi mwa hao Waishmaeli waliomleta huko.
Nanyi kweli mlinikusudia mabaya, bali Mungu aliyakusudia kuwa mema, ili itokee kuokoa taifa kubwa, kama ilivyo leo.